Jeshi la Israel ladai kuwa ‘katikati ya mji wa Gaza’
Mapigano yanaendelea katika Ukanda wa Gaza, sasa yamegawanya eneo hilo hehemu mbili.…
Serikali yatoa maelekezo kwa TMDA kukagua viwanda 12 vinavyozalisha vidonge
Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba(TMDA) kuhakikisha inakagua…
Eduardo Camavinga amesaini mkataba mpya wa muda mrefu na klabu ya Real Madrid
Klabu ya Real Madrid imetangaza kuwa Eduardo Camavinga amesaini mkataba mpya na…
Nigeria:Muigizaji wa Nollywood Mr Ibu akatwa mguu, familia yatoa taarifa
Familia ya muigizaji maarufu wa vichekesho wa Nigeria John Okafor, anayejulikana zaidi…
Idadi ya waliouawa huko Gaza inaongezeka kwa 300 kwa siku
Idadi ya waliouawa huko Gaza inaongezeka kwa 300 kwa siku,hii ni kulingana…
Huu sio wakati mzuri kufanya uchaguzi -Zelenskyy
Rais wa Ukraine amesema "haitafaa" kufanya uchaguzi wakati nchi hiyo ikisalia vitani.…
Mahakama Kuu Zimbabwe yakataa ombi la wabunge wa upinzani la kurejeshwa bungeni
Mahakama Kuu ya Zimbabwe imetoa hukumu iliyotupilia mbali ombi lililowasilishwa na wabunge…
Guinea yawatimua wanajeshi na maafisa wa magereza baada ya kashfa ya kutoroka jela rais wa zamani
Serikali ya Guinea Conakry imewafuta kazi zaidi ya wanajeshi na maafisa 60…
UN: Maelfu ya watu wamekwama kwenye mafuriko nchini Somalia
Shirika moja la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya misaada ya kibinadamu…
Mikakati AFCON 2027 yaendelea kusukwa
Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya…