Wanafunzi wampiga mwalimu mkuu ‘kwa kuwapa uji usio na sukari’
Maafisa wa elimu katika eneo la Homa Bay nchini Kenya wanafanya uchunguzi…
Sudan imewazuia watoto waliokuwa wamelazimishwa kuwasaidia wapiganaji wa kundi la RSF
Jeshi la Sudan linasema limewazuia watoto waliokuwa wamelazimishwa kuwasaidia wapiganaji wa kundi…
Jeshi la Israel latangaza kumkomboa mwanajeshi aliyetekwa na Hamas
Jeshi la Israel limetangaza kuwa limemkomboa mwanajeshi aliyekuwa ameshikiliwa mateka na kundi…
Nigeria: Watu 17 wafariki na zaidi ya 70 hawajulikani baada ya boti yao kuzama
Zaidi ya watu 70 wametoweka nchini Nigeria tangu Jumamosi, wakati boti iliyokuwa…
Mfalme Charles III anaanza ziara ya kiserikali nchini Kenya
Mfalme Charles III anaanza ziara ya kiserikali nchini Kenya leo Jumanne, ambapo…
AirTanzania imetoa msaada wa meza na viti zenye thamani ya milioni 70 shule ya sekondari Tanga
Katika kurudisha kwa jamii kampuni ya ndege ya AirTanzania imetoa msaada wa…
Morogoro kukabiliana na changamoto ya upatikanaji huduma ya maji.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima amesema jitihada za haraka zinahitajika…
Tanzania yashika nafasi ya 4 barani Afrika kwa kuwa miongoni mwa anga bora
Tanzania imeshika nafasi ya nne barani Afrika kwa kupata asilimia 86.9 na…
Mazungumzo na yakuwaachilia mateka yakwama baada ya Hamas kuitaka Israel kuruhusu kusafirisha mafuta Gaza
Mazungumzo ya kuwaachilia mateka 239 wanaoshikiliwa na Hamas yamekwama baada ya kundi…
‘Mamia’ ya wanamgambo wa Hamas waliuawa huko Gaza usiku kucha, Israel inadai
Jeshi la Ulinzi la Israel linasema kuwa limewaua "dazeni" za wapiganaji wa…