Umoja wa Mataifa unaonya kwamba vikwazo vya Gaza vinaweza kulazimisha kupunguza kwa kasi shughuli za misaada
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina lilionya Jumatano…
Hospitali za Gaza zimeonya kufungwa kwa huduma zake ikiwa hakutapatikana mafuta
Hospitali za Gaza zimekuwa zikionya kwamba zitalazimika kufungwa ikiwa hazitapokea mafuta zaidi…
Picha: Yanayojiri huko Hamas baada ya mashambulizi
Midoli ya Teddy bear waliofunikwa macho wameshikilia picha za watoto walionyakuliwa na…
Japan yabatilisha sheria iliyoamuru upasuaji wa kufunga uzazi kwa waliobadili jinsia
Mahakama ya Juu ya Japan siku ya Jumatano iliamua kwamba sheria inayowataka…
Majeruhi ya watoto huko Gaza ni ‘doa kwenye dhamira zetu’: UNICEF
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limelaani idadi "ya…
Uganda yasema vifo vitokanavyo na UKIMWI vyapungua kwa asilimia 70 katika miaka 12
Uganda imesema vifo vinavyosababishwa na UKIMWI nchini humo vimepungua kutoka 56,000 mwaka…
Uganda yawapa onyo Marekani kwa maneno yasiosahihi…
Uganda imekosoa tahadhari iliyotolewa na Marekani iliyodai kuwa ni hatari kufanya biashara…
Matokeo ya mwisho duru ya pili kati ya George Weah na Joseph Boakai kuchuana kuwania urais Liberia
George Weah na Joseph Boakai watachuana katika duru ya pili iliyo karibu…
Mauritania: Rais wa zamani kufungwa miaka 20 jela
Mwendesha mashtaka ameomba kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kutwaliwa mali…
Marco Silva meneja wa klabu ya Fulham
Marco Silva ametia saini mkataba mpya kama meneja wa Fulham ambao utaendelea…