Wataalamu wa nyuklia wakutana nchini Kenya kujadili matumizi ya teknolojia kwa amani
Mkutano wa nne wa Umoja wa Vijana wa Afrika kuhusu Nyuklia ulianza…
Shilingi ya Kenya yaporomoka kwenye kiwango cha chini zaidi katika historia dhidi ya dola
Shilingi ya Kenya Jumatatu iliporomoka kwenye kiwango cha chini zaidi katika historia…
Wasomi watafakari njia za kuachana na ukoloni katika utafiti
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeungana na taasisi za nchi…
Upatanishi wa kuwaachilia huru mateka wenye uraia wa nchi mbili wanaoshikiliwa na Hamas unaendelea
Chanzo nchini Palestina kimetangaza kwamba upatanishi unaoongozwa na Qatar, pamoja na ushiriki…
Muda wa amri ya kutumwa kwa polisi wa Kenya hadi Haiti waongezwa
Mahakama Kuu ya Kenya imeongeza muda wa amri ya kuzuia kutumwa kwa…
Obama aonya baadhi ya vitendo vya Israel huko Gaza huenda vikawa na matokeo mabaya
Katika taarifa nadra kutoka kwa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama…
Ikiwa Hezbollah itatuingiza kwenye vita, Lebanon ‘italipa gharama’: Rais wa Israel
Rais wa Israel Isaac Herzog alionekana mwenye msimamo katika mkutano na waandishi…
Wakazi wa kusini mwa Lebanon wayakimbia makazi yao kuhofia ghasia
Mashambulizi mabaya ya mpakani kati ya wanamgambo Lebanon Hezbollah na jeshi la…
Tumepitia hali mbaya kama ‘kuzimu’ -mateka wa Israeli aliyeachiliwa
Mmoja wa mateka wawili wa Israel walioachiliwa huru na Hamas, Yocheved Lifschitz…
zaidi ya watu 700 waliuawa katika muda wa saa 24 zilizopita
Wizara ya afya ya Gaza imesema zaidi ya watu 700 waliuawa katika…