mawakili wa kitapeli hawataruhusiwa kufanya kazi Kenya
Makamu wa Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Kenya Faith Odhiambo amesema…
Mlipuko wa kipindupindu katika majimbo 3 nchini Sudan
Takriban visa 817 vinavyoshukiwa kuwa maradhi ya kipindupindu vimeripotiwa katika majimbo matatu…
Wanachama 37 wa Hamas wamekamatwa katika Ukingo wa Magharibi, Israel inasema
Jeshi la Israel limesema limewakamata watu 64 katika Ukingo wa Magharibi wa…
Will Smith anasema ataendelea kumuunga mkono Jada Pinkett licha ya taarifa za kuachana kwao
Mwigizaji wa Marekani Will Smith amesema ataendelea kumuunga mkono mke wake, Jada…
Rema akutana na Rais wa Rwanda Paul Kagame
Nyota wa muziki wa afrobeat wa Nigeria, Divine Ikubor, almaarufu Rema, alikutana…
Viongozi wa EU kutoa wito wa ‘kusitishwa kwa misaada ya kibinadamu’ katika mzozo
Viongozi wa Ulaya wanataka "kusitishwa kwa kibinadamu" katika mzozo huo ili kuruhusu…
Waislamu nchini Nigeria waandamana tena kuwaunga mkono Wapalestina
Wananchi Waislamu wa jimbo la Bauchi nchini Nigeria kwa mara nyingine tena…
Mtoto mwenye umri wa miaka 14 adakwa kwa ubakaji Mtwara
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14…
Takriban wanajeshi 200 wa Ufaransa wameondoka Niger
Takriban wanajeshi 200 wa Ufaransa wameondoka katika mji wa Ouallam ulioko kusini-magharibi…
Licha ya kukataliwa ofa 3 za Arsenal kwa ajili ya Douglas Luiz mnamo 2022 ,bado wanamuwinda hadi sasa
Arsenal bado wana nia ya kujaribu kumsajili Douglas Luiz kutoka Aston Villa…