Pakistan yamfungulia mashitaka Waziri mkuu wa zamani Imran Khan kwa kuvujisha siri za serikali
Mahakama ya Pakistan imemfungulia mashtaka Imran Khan kwa kuvujisha siri za serikali,…
Mashambulizi ya anga ya Israel yalilenga vikosi vya ugaidi vya Hezbollah nchini Lebanon
Jeshi la Israel lilifanya mashambulizi ya anga mapema Jumatatu (Oktoba 23) katika…
Takriban watu 60 wauawa katika shambulio la usiku la Israel huko Gaza
Maafisa wa Hamas walisema kuwa mashambulio ya Israel dhidi ya Gaza usiku…
Wagonjwa 1,100 wenye matatizo ya kufeli kwa figo wapo hatarini -Wizara ya afya ya Gaza yaonya
Maisha ya wagonjwa 1,100 wa kufeli kwa figo, wakiwemo watoto 38, yako…
Mwanga wa mazungumzo ya amani na kukoma kwa vita waanza kuonekana nchini Sudan
Jeshi la Sudan limesema litaanza tena mazungumzo ya amani na Kikosi cha…
UN yaendelea kutahadharisha juu ya maafa ya binadamu huko Gaza
Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP) ametahadharisha juu ya kutokea…
wanasoka wanaoandamwa kwa maneno kutokana na vita inayoendele Israel na Gaza
Youcef Atal, mwanasoka maarufu kutoka Algeria na mchezaji wa klabu ya Nice…
Wanamichezo wazidi kuandamwa kwa sababu ya kuwatetea watu wanaouawa wa Gaza
Mashinikizo ya nchi za Magharibi dhidi ya wanamichezo wanaoliunga mkono taifa la…
Rais wa Marekani azungumza kwa njia ya simu na Papa Francis pamoja na waziri mkuu wa Israel
Rais wa Marekani Joe Biden alipiga simu Jumapili na kuongea na Papa…
Ufaransa: Emmanuel Macron kuzuru Israeli Jumanne
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atazuru Tel Aviv Jumanne kukutana na Waziri…