Gari aina ya scania linalobeba sumu ya sodium cyanide limepata ajali eneo la Kagongwa na sumu hiyo kumwagika.
Gari aina ya scania lenye usajili wa namba T124 ECX linalobeba sumu…
Victor Osimhen atakosekana kwa takriban mwezi mmoja kutokana na jeraha la misuli ya paja
Mshambuliaji wa Nigeria kutoka Naples Victor Osimhen aliumia paja lake la mguu…
Israel yawaua 4 wakijaribu kuingia kisiri kutoka Lebanon
Wanajeshi wa Israel waliwauwa wanamgambo wanne waliokuwa wakijaribu kujipenyeza kutoka Lebanon, jeshi…
Vilio vimetanda huku makumi ya watu waliuawa wakati Israeli ikishambulia Gaza usiku kucha
Takriban watu 1,400 wamekufa na wengine 3,400 wamejeruhiwa nchini Israel baada ya…
Rais Putin anazuru China
Rais wa Urusi Vladimir Putin aliwasili Beijing siku ya Jumanne kukutana na…
Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania (GBT) yachangia pato la taifa zaidi bilioni 170 kwa mwaka
Mkurugenzi mkuu wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini (GBT),James Mbalwe amesema…
Kante ashangazwa na Saudi Arabia kufuatia utitiri wao wa usajili wa wachezaji nyota
N'Golo Kante amesema ameshangazwa sana na ubora wa Ligi Kuu ya Saudia…
Waziri wa Maliasili metoa wito kwa shirika la utalii duniani (UNWTO) kuzingatia usawa wa kijinsia kwenye ajira
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb) ametoa wito…
Mkoa wa Singida umetekekeza kwa asilimia 100 matumizi ya ardhi katika vijiji 975
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Jerry Silaa amesema…
Conte afichua klabu mbili anazotaka kufundisha
Antonio Conte amekiri kuwa anataka kufundisha Napoli na Roma siku zijazo. Muitaliano…