Nigeria: Takriban watu 40 hawajulikani walipo baada ya kuzama kwa boti
Takriban abiria 40 hawajulikani walipo na inadhaniwa kuwa wamekufa baada ya boti…
Ruto aipongeza UN kwa kuruhusu Kenya kuongeza juhudi za kudumisha amani Haiti
Rais William Ruto amepongeza idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa…
Ulevi saubuhi marufuku Arusha
Uongozi wa Kijiji cha Olevolosi kilichopo Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha umepitisha…
Njaa yatishia wakimbizi wanaorejea Sudan Kusini
"Mgogoro wa njaa unakaribia" kwa raia wa Sudan Kusini wanaorejea nchini mwao…
Jadon Sancho kuondoka Manchester United
Jadon Sancho anatarajiwa kuondoka Manchester United mwezi Januari, na kurejea Borussia Dortmund…
Zaidi ya wahudumu 100 wa afya walikufa nchini Libya
Zaidi ya wahudumu 100 wa afya walikufa nchini Libya baada ya mafuriko…
Mamluki wa zamani wa Wagner akamatwa kwa tuhuma za mauaji mara mbili
Polisi wa Urusi wameripotiwa kumkamata mamluki wa zamani wa Wagner kwa tuhuma…
Zelenskyy atembelea vikosi vya mstari wa mbele vya jeshi
Volodymyr Zelenskyy kwa mara nyingine tena amewatembelea wanajeshi wanaopigana kwenye mstari wa…
Mummy mwenye umri wa miaka 128,mmoja wa wazee zaidi nchini Marekani azikwa
Takriban miaka 128 iliyopita, mwizi na mlevi, anayejulikana kwa jina la Stoneman…
Afisa wa zamani wa jeshi la Rwanda ambaye anashukiwa kwa mauaji ya Kimbari akamatwa
Afisa wa zamani wa jeshi la Rwanda ambaye anashukiwa kuwa na jukumu…