Gabon: amri ya kutotoka nje imelegezwa baada ya wiki kadhaa
Wanajeshi waliompindua Ali Bongo Ondimba, aliyekuwa rais wa Gabon kwa miaka 14…
Mafuriko mashariki mwa Libya yawakosesha makazi zaidi ya watoto 16,000 – UNICEF
Mafuriko mabaya ambayo yaliharibu mashariki mwa Libya mnamo Septemba 10 yaliwafanya zaidi…
Mali yashuhudia mashambulizi kwenye vituo 3 vya jeshi katika siku mbili zilizopita
Jeshi la Mali limeripoti mashambulizi katika vituo vyake vitatu kaskazini, magharibi na…
Eswatini kufanya uchaguzi wa wabunge
Uchaguzi wa wabunge unaafanyika Ijumaa hii nchini Eswatini, zamani ikiitwa Swaziland, nchi…
Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi afikishwa mahakamani baada ya miezi 5 kizuizini
Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi, Alain-Guillaume Bunyoni, amefikishwa mahakamani siku ya…
Janga la milipuko ya magonjwa nchini Sudan laongezeka
Hali ya afya imeendelea kudorora nchini Sudan, huku kukiwa na ongezeko la…
UNHCR: Zaidi ya wahamiaji 180,000 wameingia Ulaya mwaka huu
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, takribani…
Rais Putin amekutana na mbabe wa kivita wa Libya jijini Moscow
Rais wa Vladimir Putin wa Urusi amefanya mazungumzo na kiongozi wa kijeshi…
Stromme foundation kuboresha maeneo ya elimu na upatikanaji wa ajira kwa vijana
Taasisi isiyo ya kiserekali yenye makao makuu nchini Norway, Stromme foundation, imekutana…
Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu latoa elimu uvuvi salama
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Kamishnaa Msaidizi wa Polisi Edith Swebe…