Nilishauriwa kujiunga na vikundi vinavyojihusisha na ibada za kishirikina- Phyno
Rapa na mwimbaji wa Nigeria, Chibuzor Nelson Azubuike, almaarufu Phyno, amesimulia jinsi…
Wanamgambo 50 wauawa na askari wa Ethiopia eneo la Amhara
Wanamgambo wasiopungua 50 wameuawa katika makabiliano makali baina ya maafisa usalama wa…
Msako wa bosi hatari wa genge aliyedhibiti jela ya kifahari nchini Venezuela
Mamlaka za Amerika Kusini kwa sasa zinamsaka Héctor Guerrero Flores, kiongozi wa…
Lavrov aikasirikia Finland akiishutumu kwa kujaribu kuanzisha uasi dhidi ya Putin
Fresh kutoka kwenye mazungumzo na mwenzake wa Tunisia, Sergey Lavrov, waziri wa…
Harvey Barnes jeraha lake la mguu ni kubwa-meneja wa Newcastle
Mchezaji wa Newcastle United, Harvey Barnes huenda akakaa nje kwa muda mrefu,…
Chama cha wachezaji mpira wa miguu cha jaribu kuingilia sakata la Sancho na Ten Hag
PFA imetoa msaada wake kujaribu kutatua mzozo kati ya Erik ten Hag…
Mauricio Pochettino hana tatizo na mmiliki mwenza wa Chelsea-ripoti
Baada ya mkuu wa The Blues, Behdad Eghbali amekosolewa wiki hii baada…
Umoja wa Mataifa unasema milipuko ya kipindupindu na dengue imeripotiwa mashariki mwa Sudan
Mlipuko wa homa ya Denge, na Kipindupindu kutokana na ukosefu wa maji…
Niger: Mamlaka inataka makubaliano na Paris kuhusu kuondoka kwa jeshi lake
Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, wamesema wanataka kuafikiwa kwa makubaliano…
Mmiliki mwenza wa Chelsea ana hatari ya kukosolewa kwa tabia aliyoionesha ndani ya chumba cha kubadilishia nguo
Mmiliki mwenza wa Chelsea Behdad Eghbali anaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa kwa…