Odesa: Watu wanne waliuawa katika shambulio la usiku la kombora
Maafisa wa Ukraine wametangaza kuwa watu wanne waliuawa katika shambulizi la Urusi…
Marekani wafanya upasuaji wa 2 duniani wa kupandikiza moyo kutoka kwa nguruwe hadi kwa binadamu
Madaktari wa upasuaji nchini Marekani wamefanya upasuaji wa pili duniani wa kupandikiza…
Ashtakiwa kwa kuwapiga watoto wake 3 hadi kufa
Polisi nchini Thailand wamemshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga hadi kumuua bintiye wa…
Bruno Saltor ameacha nafasi yake kama kocha wa kikosi cha kwanza katika klabu ya Chelsea.
Mhispania huyo aliteuliwa kama sehemu ya timu ya nyuma ya Mauricio Pochettino…
Tottenham wametangaza makubaliano ya kumsajili beki chipukizi kutoka Croatia…
Tottenham wametangaza makubaliano ya kumsajili beki chipukizi kutoka Croatia Luka Vuskovic kutoka…
Urusi yamuweka rais wa ICC kwenye orodha yawanaotafutwa
Urusi imetangaza kuwa imemweka Piotr Hofmanski, rais wa Mahakama ya Kimataifa ya…
‘Naweza kumfufua Mohbad’ nahitaji kuona maiti yake- Nabii
Nabii aliyejitambulisha kwa jina la Oba Ewulomi amedai kuwa anaweza kumfufua marehemu…
‘wasichana wa Nigeria ni waongo na sio wazuri’-Ruger
Mwimbaji maarufu, Michael Adebayo Olayinka, almaarufu Ruger, amedai kuwa wanawake wa Nigeria…
Ukraine na Marekani zimetia saini mkataba wa maelewano juu ya mfumo wa nishati wa Ukraine
Ukraine na Marekani zimetia saini mkataba wa maelewano (MoU) ambapo Kyiv itapokea…
Pendekezo la ukomo wa urais wa miaka 7 Kenya lazua gumzo
Seneta mmoja ambaye ni mwanachama wa muungano unaotawala nchini Kenya amependekeza kuongezwa…