Kenya polisi wanawazuilia washukiwa 11 ili kukamilisha uchunguzi wa vifo vya watoto wawili
Mahakama ya Kilifi imewapa polisi hadi Jumatatu kuwashikilia washukiwa 11 kuhusiana na…
Wakimbizi 30 wafariki kwa njaa na utapiamlo kusini magharibi mwa Ethiopia
Wakimbizi 30 wamefariki kutokana na njaa na utapiamlo katika mkoa wa Gambela,…
Dawa za kulevya zapatikana chini ya mlango wa shule wa chekechea ya New York
Polisi wamepata kiasi kikubwa cha fentanyl, madawa ya kulevya na vifaa vingine…
Mnyarwanda akiri kuua watu 14 baada ya maiti 12 kukutwa zimezikwa jikoni
Raia wa Rwanda Denis Kazungu amekiri kosa la kuua watu 14 wengi…
Urusi imepiga marufuku kwa muda uuzaji wa mafuta ili kukabiliana na uhaba
Serikali ya Russia imetangaza katika taarifa kwamba ili kuleta uthabiti katika soko…
Gabon: Jean Ping atangaza kuwa ‘tayari kufanya kazi’ na viongozi wapya
Mpinzani na mkosoaji mkubwa wa Ali Bongo, rais aliyepinduliwa madarakani chini Gabon,…
Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
Kiongozi mkuu wa Sudan ameonya Umoja wa Mataifa kwamba vita vya nchi…
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
Mwendesha mashtaka wa umma wa Tunisia jana alimshikilia mchora katuni Tawfiq Omrane…
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
Takribani watoto 90 wa shule moja ya Msingi nchini Afrika Kusini wamelazwa…
Naibu waziri mkuu, waziri wa nishati dkt.Doto Biteko kufungua maonesho ya sita ya madini geita
Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Dkt.Doto Biteko anatarajiwa…