Demi Lovato amwaga sifa za mpenzi wake wa sasa.
Mwimbaji Demi Lovato amesema kuwa kwa sasa anastawi katika uhusiano wake mpya…
Muuaji aliyepatikana na hatia na kutoroka gerezani azua taharuki Marekani ‘anasilaha’
Tukio la Jumatatu usiku la muuaji aliyepatikana na hatia ambaye alitoroka kutoka…
Trump amtaka jaji atupilie mbali mashtaka ya kuhujumu uchaguzi wa Georgia dhidi yake
Rais wa zamani Donald Trump anaiomba mahakama kutupilia mbali mashtaka kadhaa ya…
Marekani yatishia kuziwekea vikwazo Korea Kaskazini na Russia
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema jana Jumatatu…
UAE kuanza safari zake za ndege kuelekea Nigeria na kuondoa marufuku ya viza
Shirika la Ndege la Emirates linatazamiwa kurejesha ratiba zake za ndege kuelekea…
Kampuni ya Airpay yapata leseni ya BoT kutoa huduma za malipo kidigitali
Katika kuhakikisha watanzania waliopot visiwani Zanzibar na bara wanapata huduma za uhakika…
Hospitalikuu ya jeshi la polisi yanufaika na mafunzo kutoka marekani
Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi iliyopo wilaya ya Temeke Barabara ya…
Burnaboy kuacha muziki kisa mirabaha…
Msanii mashuhuri wa muziki wa Afrobeats Burna Boy ametishia kwamba huenda akalazimika…
Xavi amtolea macho kiungo wa La Liga kwa kitita cha euro milioni 60 kwa Barcelona – ripoti
Mwanahabari Ferran Martinez ameripoti kwenye Mundo Deportivo kwamba kiungo wa Villarreal Alex…
Iran yatoa msaada kwa Libya iliyokumbwa na mafuriko
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian ametoa msaada wa…