Afrika Kusini haitaonewa kuunga mkono mataifa yenye nguvu duniani- Ramaphosa
Afrika Kusini haitalazimishwa kuunga mkono mamlaka yoyote ya kimataifa, Rais Cyril Ramaphosa…
Marekani: Kesi za unyanyasaji wa kingono za Michael Jackson zafufuliwa tena
Mahakama ya rufaa ya California siku ya Ijumaa ilifufua kesi kutoka kwa…
Biden aelekea Hawaii kutazama uharibifu na kukutana na walionusurika
Rais Joe Biden aelekea Hawaii siku ya leo kutazama uharibifu ulioenea kutokana…
Kim Jong Un ashuhudia majaribio ya urushwaji wa makombora
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameshuhudia majaribio ya makombora ya…
Ponografia yaonyeshwa barabarani badala ya matangazo ya biashara
Mamlaka ya Iraq siku ya Jumapili iliamuru kuzimwa kwa skrini za matangazo…
Urusi imezua mashambulio ya ndege zisizo na rubani ya Ukraine
Urusi inasema imezuia mashambulio mawili ya ndege ziszio na rubani za Ukraine…
Mtawala wa kijeshi wa Niger anaonya dhidi ya shambulio lolote
Mtawala mpya wa kijeshi wa Niger alionya Jumamosi kwamba shambulio lolote dhidi…
Rais wa Zimbabwe mwenye umri wa miaka 80 atafuta muhula mpya
Emmerson Mnangagwa amekuwa rais wa pili wa Zimbabwe baada ya kumshinda mtawala…
Sudan: Masoko haramu ya silaha yasambaa katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum
Masoko ya magendo ya silaha nchini Sudan yamekithiri na kuibua wasiwasi mkubwa…
Iran yawasilisha malalamiko rasmi kuhusu kuvunjiwa heshima kwa Qur’ani Tukufu
Iran imewaita wanadiplomasia wa Uswidi na Denmark katika mji mkuu Tehran kubainisha…