Seoul yatoa ripoti muhimu kujadili unyanyasaji wa haki za kibinadamu wa Korea Kaskazini
Mkuu wa shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa Volker…
Rais Museveni aendelea kukosoa benki ya dunia kwa kusitisha ufadhili kwa nchi yake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa nyengine tena amekosoa tena hatua ya…
Muuguzi wa Uingereza apatikana na hatia ya kuwaua watoto 7 wachanga
Muuguzi wa Uingereza alipatikana na hatia Ijumaa ya kuwaua watoto saba wachanga…
Trump anapendekeza tarehe ya kesi yake ya kuingilia uchaguzi iwe Aprili 2026
Mawakili wa Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump walipendekeza Aprili 2026…
Rais Xi kuzuru Afrika Kusini wiki ijayo
Mamlaka nchini Afrika Kusini zimethibitisha kwamba rais wa China Xi Jinping anatarajiwa…
Mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa anasema ni lazima demokrasia irejeshwe nchini Niger
Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa uliwashutumu majenerali ambao wamenyakua mamlaka nchini…
ECOWAS inawapa serikali ya Niger ‘chaguo la kuchagua mchakato wa amani’
Wakuu wa ulinzi wa ECOWAS waliendelea na mazungumzo yao nchini Ghana siku…
Grammy iliweka category ya ‘Best African Music Performance’ kwa sababu yangu – Burna Boy
Mwimbaji wa muziki wa afrofusion kutoka Nigeria, Damini Ogulu, almaarufu Burna Boy,…
Davido anaongoza AFRIMMA 2023 kwa kuteuliwa mara sita
Waandaaji wa Tuzo za Africa Muzik na Magazine, AFRIMMA wametoa orodha ya…
wanawake waliobadili jinsia wamepigwa marufuku kushiriki mchezo wa chess wa dunia
Shirikisho kuu la mchezo wa chess duniani limeamua kuwa wanawake waliobadili jinsia…