Potter yupo mbele ya Van Nistelrooy kupata mikoba ya kuinoa Leicester
Graham Potter anakadiriwa kuwa mbele ya Ruud van Nistelrooy ndani ya Leicester…
Baba wa Neymar anasisitiza mustakabali wa mwanae bado haujaamuliwa
Mshambulizi huyo wa zamani wa Barcelona amekuwa akihusishwa na kurejea katika klabu…
Mo Salah hajapokea ofa mpya ya mkataba kutoka kwa Liverpool
Mshambulizi wa Liverpool Mohamed Salah anasema "amesikitishwa" na klabu hiyo kushindwa kumpa…
Tarehe 27 watumishi ZNZ kazini kama kawaida
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Mfanyakazi mnene aishitaki kampuni kwa kupewa nafasi ndogo ya kufanyia kazi
William Martin, Mfanyakazi wa Maktaba ya Umma ya New York mwenye uzito…
Ex wa Elon musk afunguka changamoto za malezi zilizomfanya kufilisika
Msanii wa muziki Grimes, jina lake halisi Claire Boucher, ameeleza changamoto alizokutana…
Kilo 2207 zadakwa huku nyingine zikiwa kwenye chassis ya Scania
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana…
Sho Madjozi atangaza kustaafu muziki
Mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Sho Madjozi aliyetamba na ngoma ya "John Cena",…
Taiwan yadai kunasa puto la kijasusi la China
Taiwan ilisema Jumatatu iligundua puto ya Uchina juu ya maji kaskazini-magharibi mwa…
Mwanamke au msichana 1 huuawa kila baada ya dk 10 na mpenzi wake au mwanafamilia :UN
Katika Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake, tarehe 25…