Mke wa Achraf Hakimi agundua hana mgao wa mali,Mama mkwe aandikishwa Urithi zamani.
Katika hali ya kushangaza, inaelezwa aliyekuwa mke wa mchezaji wa klabu ya…
Wanne wafariki wengine (10) hospitali wakiwa kwenye mfungo kukutana na Yesu.
Watu wanne walipatikana Alhamisi wakiwa wamefariki na wengine zaidi ya kumi wamelazwa…
Korea Kusini kuwalipa posho Tsh Mil.1 vijana wapweke kuirudisha furaha yao.
Wizara ya Usawa wa Jinsia na Familia ilitangaza wiki hii kwamba itatoa…
UN yaonya juu ya kuzuka kwa magonjwa ya mlipuko yanayosababishwa na maji Somalia.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulika na Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu…
Marekani:Serikali kuhakikisha theluthi mbili ya magari yanayouzwa nchini humo mwaka 2032 ni ya umeme.
Shirika la Kulinda Mazingira la Marekani (EPA) lilipendekeza Jumatano, Aprili 12 kupunguza…
Viongozi wa dini watakiwa kushikirikiana kukemea vitendo vya uharibifu wa maadili hapa nchini.
Serikali mkoani Tanga imewaomba viongozi wa dini kuendelea kushirikia nao katika kukemea…
Aliyevujisha nyaraka za siri juu ya taarifa za intelijensia za jeshi la Marekani ,FBI yamtia mbaroni
Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI imetangaza kuwa, imemtia mbaroni mvujishaji wa…
LIBYA:Mwinjilisti akamatwa kwa madai ya kueneza imani ya kikristo katika taifa la kiislamu.
Vikosi vya usalama vya Libya vilisema Alhamisi kuwa vimemkamata raia wa pili…
Ghana imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha chanjo mpya ya malaria.
Chanjo hiyo inayoitwa R21 - inaonekana kuwa na ufanisi mkubwa, tofauti kabisa…
Mwanaume mmoja adai kupona tatizo la msongo wa mawazo kwa kuoga maji baridi ya nyuzi joto 0.
Mitchell Bock, 30, alisema alianza mbinu ya kuacha kutegemea dawa za kupunguza…