Harry Kane sio mchezaji pekee anayewindwa na Bayern Munich kuna David de Gea na David Raya.
Wabeberu hao wa Bavaria wanaweza kuwa bila Manuel Neuer kwa hatua za…
Fulham wametoa ofa ya £4.5m kwa winga wa Chelsea Callum Hudson-Odoi.
Hudson-Odoi anashinikiza kuhamia Craven Cottage baada ya kuambiwa hayumo katika mipango ya…
Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy kukutana na Bayern Munich kuhusu dili la Harry Kane
Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy anatazamiwa kufanya mazungumzo ya ana kwa ana…
Zimbabwe yapata zawadi ya chopper kutoka kwa Putin
Vladimir Putin alimzawadia rais wa Zimbabwe helikopta, Harare ilisema siku ya Alhamisi,…
Vigogo wa Juve na Milan wanaohusishwa na Harry Maguire
Miamba watano wa Serie A wameripotiwa kumtaka Harry Maguire. Gazeti la Italia…
Rasmus Hojlund anataka kusajiliwa na Manchester Uinted
Inasemekana kwamba Rasmus Højlund anataka kujiunga na Manchester United, na ni jambo…
Manchester City wanatarajia kupanua uwanja wa Etihad
Manchester City wamepewa kibali cha kupanua na kuendeleza upya Uwanja wa Etihad!…
Bayern Munich wapo kwenye mazungumzo kuhusu uhamisho wa Sadio Mane kwenda Al Nassr
Al-Nassr wanajipanga kutoa €37M kwa Bayern kwa ajili ya Sadio Mane na…
West Ham waandaa ofa ya pili kwa nahodha wa Southampton James Ward
Southampton wamekataa ombi la kwanza la West Ham la pauni milioni 25…
Inter bado wana matumaini ya kumsajili Sommer.
Inter Milan wanatarajiwa kukamilisha makubaliano na Bayern Munich kwa ajili ya kumsaini…