Mapacha walioungana,mmoja apata boyfriend, daktari aelezea “wanavyotumia mfumo wa uzazi”
Moja ya kisa kilichoishangaza dunia ni pamoja na simuzi ya mabinti mapacha…
Waziri auawa kwa kupigwwa risasi na mlinzi wake nchini Uganda.
Kanali Charles Okello Engola, Waziri wa nchi katika masuala ya Ajira, Leba…
Idadi ya mifugo nchini imeongezeka kutoka ng’ombe milioni 35.3 hadi ng’ombe milioni 36.6.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega leo amewasilisha Bungeni Mpango na…
Waziri Mkuu wa Japan azuru Afrika katika jitihada za kukabiliana na ushawishi wa China na Urusi..
Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida anatarajiwa kutembelea chini ya Kenya leo…
KENYA: yanayojiri baada ya Chama cha Azimio la Umoja kurudisha maandamano hii leo.
Wafuasi wa Chama cha Azimio la Umoja kinachoongozwa na Raila Odinga wameendelea…
UN:huenda watu zaidi ya laki 8 wakatoroka kutokana na mapigano Nchini Sudan.
Umoja wa Mataifa, umeonya kuwa huenda watu zaidi ya laki 8 wakakimbia…
WFP Imesitisha kusambaza misaada katika mkoa wa kaskazini wa Ethiopia, Tigray.
Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya chakula limesitisha kusambaza misaada…
Zaidi ya miili 100 iliyofukuliwa walifariki kutokana na njaa, uchunguzi wathibitisha.
Uchunguzi wa kwanza wa kitaalamu kwenye maiti zilizogunduliwa katika makaburi yanayohusishwa na…
Polisi wa Ufaransa na Italia wapambana na wanaharakati wakati wa sherehe za Mei Mosi.
Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Dei yaliyofanyika jana nchini…
Zaidi ya wakimbizi 20,000 walivuka kutoka Sudan kwenda Chad tangu mapigano yalipozuka.
Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, takriban wakimbizi 20,000 wamehifadhiwa…