G7 yatoa wito kukomeshwa mara moja kwa mapigano nchini Sudan.
Tangu Jumamosi, mapigano kati ya jeshi la serikali linaloongozwa na Jenerali Abdel…
Kenya: Mhubiri mwenye utata kuendelea kuzuiliwa na polisi.
Mahakama moja mjini Malindi Pwani ya Kenya imewaruhusu polisi nchini humo kumzuilia…
Rais Samia: Sekta ya madini kuchangia 10% Pato la Taifa mwaka 2025.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo April 17, 2023 ameshuhudia…
Malezi bora kwa vijana,mwarobaini matukio ya uhalifu.
JAMII ya kiislamu nchini imetakiwa kuwahimiza watoto wao kusoma na kuhifadhi kitabu…
Mwanaharakati ahukumiwa miezi 3 jela kwa kukiuka marufuku ya mahakama.
Mwanaharakati wa Hong Kong Joshua Wong amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela…
Takriban watoto 500 wameuawa au kujeruhiwa nchini Ukraine,idadi halisi ni kubwa zaidi.
Takriban watoto 500 wameuawa nchini Ukraine tangu uvamizi wa Urusi, kulingana na…
Urusi: Mkosoaji wa Putin afungwa jela miaka 25.
Urusi imemfunga jela miaka 25, Kara-Murza ambaye ni mkosoaji wa rais Vladimir…
Maelfu waandamana kulalamikia kupanda kwa gharama za maisha jamhuri ya Czech.
Takriban waandamanaji 70,000 siku ya jumapili waliandamana mjini Prague kulalamikia mfumuko wa…
Tume ya Umoja wa Afrika ‘ATMIS’ yaendesha mafunzo ya afya ya akili kwa wafanyakazi wake.
Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia ,(ATMIS) imesema Jumapili…
Iran: Wanaowahimiza wanawake kutovaa hijabu kuhukumiwa kifungo hadi miaka 10 jela.
Polisi ya Iran ilitangaza kuanza kutumika kwa hatua mpya za kudhibiti uvaaji…