PEW:Nusu ya Wamarekani wanaunga mkono marufuku ya serikali, katazo la matumizi ya mtandao wa Tik Tok.
Nusu ya Wamarekani wanaunga mkono marufuku ya serikali ya nchi hiyo juu…
13 wauawa kwa kupigwa risasi wakati wakisubiri msaada wa chakula ,huko Karachi nchini Pakistan.
Takriban watu 13 waliuawa na wengine 10 kujeruhiwa Ijumaa katika mvutano wa…
Tunis:Mamlaka ya maji imetangaza vikwazo usambazaji na matumizi ya maji ya kunywa katika nchi juu ya ongezeko la ukame.
Tunisia inapitia mwaka wake wa tano mfululizo wa ukame ambao unakumba maeneo…
WHO: Zaidi ya watu milioni 1 wameathirika na majanga kikiwemo kipindupindu Msumbiji.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, zaidi ya watu milioni moja…
WFP yapunguza mgao wa chakula kwa wakimbizi wa Kongo walioko Burundi “Ukosefu wa Fedha”.
Zaidi ya wakimbizi 56,000 wa Kongo hivi karibuni watapata nusu tu ya…
Microsoft & Google zaishutumu sheria iliyopitishwa dhidi ya wapenzi wa jinsia moja Uganda.
Muungano wa makampuni ya kimataifa, yakiwemo Google na Microsoft, Jumatano yameushutumu mswaada…
VATICAN:Papa Francis alazwa hospitalini kwa siku kadhaa kutokana na maambukizi ya mapafu.
Kiongozi wa Kanisa katoliki Papa Francis alilazwa hospitali Jumatano kutokana na maambukizi…
UNECA yazindua mradi wa mchakato wa kisasa wa takwimu za uzalishaji barani Afrika.
Kamati ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA) imezindua mradi…
UNICEF yaonya kuhusu mlipuko wa kipindupindu unaoenea kwa kasi barani Afrika.
Katika taarifa, UNICEF imetoa wito wa ufadhili zaidi kusaidia sio tu kulinda…
UN: Ziara 65 za tathmini, Kamati ya Kupambana na Ugaidi,kuhakikisha utiifu wa mahitaji ya Baraza la Usalama kufanyika hivi karibuni.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amerejea tena ahadi ya…