Korea Kaskazini imefanya majaribio mengine tena ya makombora yake
Korea Kaskazini mnamo Jumanne ilifanyia majaribio makombora mengi kuelekea maji yake ya…
Donald Trump angepatikana na hatia katika uchaguzi wa 2020 :wakili maalum
Rais mteule Donald Trump huenda angehukumiwa kwa kujaribu kubadilisha na kung'ang'ania madaraka…
Tyson Fury astaafu kucheza ndondi
Bingwa wa zamani wa dunia wa uzito wa juu Tyson Fury alitangaza…
Idadi ya vifo Gaza inaweza kuwa 41% juu kuliko takwimu rasmi :utafiti
Idadi ya watu waliouawa huko Gaza kwenye mashambulizi mabaya ya Israeli katika…
Madai kuwa TikTok itauzwa kwa bilionea Musk ni uongo
TikTok imeita ripoti kwamba China inazingatia kuruhusu uuzaji wajukwaa la mtandao huo…
Rais wa Korea Kusini kuhukumiwa na Mahakama ya Katiba
Kesi ya kumuondoa madarakani Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol inafunguliwa tena…
Wananchi watishia kata ya Mbezi wilaya Ubungo kuandamana kisa maji
Wananchi wa Mtaa wa mshikamano, kata ya Mbezi wilaya Ubungo wametishia kuandamana…
Rais Mwinyi kula chakula cha mchana na ZNZ Heroes
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ameialika Timu ya…
Wakenya waendesha kampeni mitandaoni kuishtaki serikali ICC
Katika mitandao ya kijamii, Wakenya wanaendesha kampeni maalumu huku wakihimizana kujaza fomu…
Tamasha la Maha Kumbh Mela la India lakusanaya mamilioni ya watu baada ya miaka 144
Mamilioni ya watu wanahudhuria tamasha la Kihindu la Kumbh Mela - linalofafanuliwa…