Serikali itatoa waraka kuwakumbusha wakurugenzi wote nchini kutekeleza miongozo yao
Serikali inatarajia kutoa waraka utakao waelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutekeleza miongozo…
Mtu mmoja afariki katika ajali ya ndege ya kijeshi ya Zimbabwe
Kikosi cha Ulinzi cha Zimbabwe (ZDF) Alhamisi kilitangaza kifo cha rubani kijana…
Moto uliozuka katika shule moja kaskazini mwa Nigeria yaua takriban watoto 17
Takriban watoto 17 waliuawa katika moto uliozuka katika shule ya Kiislamu kaskazini-magharibi…
Wananchi 161,154 wafikiwa na kampeni ya msaada wa kisheria Geita
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid…
TAKUKURU Tanga yaokoa zaidi ya Mil.76 za serikali
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imefanikiwa kuokoa kiasi cha…
Raia 400 wa India warudishwa kwao na ndege ya jeshi kutoka Marekani
Maafisa wa India wameripoti kuwa raia 104 wa nchi hiyo wamefukuzwa kutoka…
Takribani watu 3000 wauawa baada ya waasi kuteka mji mkubwa DRC
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa mashambulizi yanayohusiana na kundi la…
Ajenda ya uimarishaji wa mikakati ya Bima ya Afya kwa Wote yajadiliwa Uswisi
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe, Februari 5, 2025 amewasilisha mada…
Mabadiliko ya sera za Rais Trump yanaifanya Tanzania iendelee kujiimarisha kuwa na uwezo wa ndani: PM Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema mabadiliko…
Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo nchini :Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake…