Raia wa Ghana aliyezuiliwa katika uwanja wa ndege wa Brazil kwa sababu ya nyaraka alifariki akiwa kizuizini
Kifo cha mhamiaji aliyezuiliwa katika eneo lililozuiliwa la Uwanja wa Ndege wa…
Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE yafuatilia kwa karibu kesi ya mwanzilishi wa Telegram
Falme za Kiarabu imesema inafuatilia kwa karibu kesi ya mwanzilishi wa programu…
Mashambulizi ya Israel yameua zaidi ya Wapalestina 40,000 mpaka hivi sasa
Mashambulizi ya Israel yameua zaidi ya Wapalestina 40,000 katika Ukanda wa Gaza…
Idadi ya jumla ya vifo vya waliokufa maji Sudan yafikia 132
Takriban watu 132 wamekufa nchini Sudan kutokana na mafuriko na mvua kubwa…
Rais wa Nigeria ateua wakuu wapya wa masuala ya ujasusi
Rais wa Nigeria Bola Tinubu amewateua maafisa wawili wakuu wa usalama kusimamia…
Zaidi ya mashirika 2,000 yatarajia kushiriki Jukwaa la nne la mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NaCoNGO)
Zaidi ya mashirika 2,000 na wawakilishi kutoka mbalimbali zikiwemo nchi za Uganda,…
Serikali yajipanga kudhibiti matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua kuchukuliwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na…
Tanesco na REA zapewa rai kuongeza kasi ununuzi Transfoma kiwanda cha Tanelec
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo(Mb) ametoa rai kwa…
Prof.Kahyarara -ussfiri wa majini kichocheo ukuaji uchumi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara amesema Serikali…
Wananchi zaidi ya 200 waandamana Manyara na kufunga barabara zaidi ya saa 6 chanzo chatajwa..
Wananchi zaidi ya mia mbili katika kijiji cha Losinon Kata ya Oljoro…