Blinken anazitaka Israel na Hamas kukamilisha makubaliano ya ‘asilimia 90’ yaliyokubaliwa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken siku ya Alhamisi…
Urusi inashutumiwa kwa kujaribu kushawishi uchaguzi wa rais wa Marekani
Utawala wa Rais Joe Biden umetangaza hatua kadhaa zinazolenga kukabiliana na kile…
CPA. Makalla ataka wafugaji Longido wajitenge na fitna za wanasiasa
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wake wa NEC, Itikadi, Uenezi…
WHO imeripoti ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa wa kipindupindu na vifo 2023
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa…
Mkurugenzi wa gereza la Makala asimamishwa kazi
Waziri Mkuu wa DRC Judith Suminwa alitembelea gereza kuu la Makala siku…
Dozi laki moja za kukabiliana na virusi vya Mpox zimewasili nchini DRC
Dozi zaidi ya laki 1 za kukabiliana na virusi vya Mpox zimewasili…
Netanyahu anakanusha ripoti kuhusu kusitisha mapigano Gaza, makubaliano ya kubadilishana mateka
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, Alhamisi alipuuzilia mbali ripoti kwamba makubaliano…
Simanzi: Wanafunzi 17 wateketezwa na moto, ulianza bwenini, uchunguzi waanza.
Takriban wanafunzi 17 wamefariki dunia huku wengine 14 wakijeruhiwa kufuatia moto uliozuka…
Elon Musk azindua mtandao mpya wa X TV
Hii inaweza kuwa tariff panda kwa mashabiki wanaomfuatilia kwa karibu Bilionea wa…
Idadi ya vifo Gaza yaongezeka hadi 40,878, zaidi ya 94,454 waliojeruhiwa.
Vikosi vya Israel vilifanya mauaji mawili dhidi ya familia katika Ukanda wa…