Kerem Akturkoglu ajiunga na Benfica kutoka Galatasaray kwa kandarasi ya miaka 5
Klabu ya Benfica ya Ureno ilithibitisha Jumanne kumsajili mchezaji wa Uturuki Kerem…
Helikopta ya uokoaji ya India yaanguka baharini, wafanyakazi watatu wapotea
Wafanyakazi watatu wa Kikosi cha Ulinzi wa Pwani ya India wamepotea baada…
Mtaalamu wa utengenezaji wa makombora ya hypersonic nchini Urusi ahukumiwa miaka 15 jela
Mahakama ya Urusi ilimhukumu mwanafizikia Alexander Shiplyuk miaka 15 kwa mashtaka ya…
Kiongozi mkuu wa Taliban awataka maafisa watekeleze sheria kali na mpya ya maadili kwa wanawake
Kiongozi mkuu wa Taliban Hibatullah Akhundzada amewaamuru maafisa wa Afghanistan kutunga sheria…
Rais wa UAE awasamehe raia wa Bangladesh waliofungwa jela kwa kuandamana
Rais wa Falme za Kiarabu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan amewasamehe…
Mwanamume wa Ufaransa ashtakiwa kwa kuwahusisha wanaume 51 kumbaka mke wake kwa miaka 10
Mwanamume mmoja kutoka Ufaransa mwenye umri wa miaka 71 anakabiliwa na mashtaka…
WHO yavuka malengo ya chanjo ya Polio katika watoto wa Gaza
Shirika la Afya Ulimwenguni huko Gaza lilisema Jumanne kwamba liko mbele ya…
Uingereza yasitisha baadhi ya mauzo ya silaha kwa Israel,
Uingereza imesitisha baadhi ya mauzo ya silaha kwa Israel, ikisema kuna "hatari…
Galatasaray, imetangaza kumsajili mshambuliaji nyota Victor Osimhen
KLABU ya Süper Lig ya Uturuki, Galatasaray, imetangaza kumsajili mshambuliaji nyota Victor…
Papa Francis awasili Indonesia kwa ziara ya siku 3
Papa Francis aliwasili nchini Indonesia Jumanne kwa ziara ya siku tatu katika…