Mchakamchaka wa mwenezi Makalla aanza na uzinduzi wa shina la wakereketwa la wavuvi beach Mji Mwema
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amefungua shina…
Polisi India wafyatua mabomu ya machozi kwenye maandamano ya kupinga ubakaji na mauaji ya daktari mwanafunzi
Polisi nchini India walitumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya…
Watatu wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa kesi mauwaji ya Milembe Geita.
Washtakiwa watatu kati ya wanne waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya…
Hapi apongeza chama na serikali kwa ushirikiano wa kutosha utekelezaji wa ilani ya CCM
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi…
UN yasitisha usafirishaji misaada Gaza baada ya maagizo mapya kutoka kwa jeshi la Israeli
Shirika la Umoja wa Mataifa limeahirisha usafirishaji misaada kwenda Gaza kwa muda…
Makanisa Yerusalemu yalaani vita vya Israel dhidi ya Gaza
Viongozi wa makanisa Yerusalemu wameeleza wasiwasi waao mkubwa kuhusu vita vya Israel…
Barcelona inakimbizana na wakati kuhitimisha mikataba mipya
Barcelona inakabiliwa na mzozo wa kifedha unaoifanya kushindwa kuhitimisha na kusajili mikataba…
Rasmi UEFA yatangaza kumuenzi Cristiano Ronaldo
Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) lilitangaza, katika taarifa rasmi, kumuenzi nyota…
TAKUKURU na ZAECA ongezeni ushirikiano -Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali…
Utawala wa Biden-Harris ‘ulishinikiza’ Meta kudhibiti machapisho yanayohusiana na Covid:Mark Zuckerberg
Mkurugenzi Mtendaji wa Meta Platforms, Mark Zuckerberg, amedai kuwa maafisa wakuu katika…