Mahakama ya Venezuela yaidhinisha matokeo ya uchaguzi na kutangaza ushindi wa rais Maduro
Mahakama ya Juu ya Venezuela, ambayo waangalizi wanasema ni mtiifu kwa serikali…
Waziri Mkuu wa India kwa mara ya kwanza afanya ziara yake nchini Ukraine
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi alianza ziara yake ya siku moja…
Mapya kesi ya maujia ya mtoto Asimwe,watuhumiwa wadai hawajui kosa lao mpaka kukamatwa
Ni muendelezo wa ripoti ya kesi ya washitakiwa tisa wa mauaji ya…
Taliban imepiga marufuku sauti za sauti za wanawake kuimba au kusoma hadharani
Katika hatua ya kuzidisha vikwazo vya kijamii hasa wanawake, watawala wa Taliban…
Rwanda yatangaza kupiga marufuku zaidi ya vikundi 40 vya kidini
Mamlaka ya Rwanda ilitangaza kupiga marufuku shughuli za vikundi 43 vya kidini…
Wazazi pelekeni vijana wenu shule – Majaliwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wazazi wahakikishe vijana wao wanakwenda kusoma kwenye…
Ubalozi wa Marekani waonya juu ya mashambulizi ya Urusi kabla ya siku ya uhuru wa Ukraine
Ubalozi wa Marekani umesema kuna hatari kubwa ya mashambulizi ya Urusi kabla…
Mikel Arteta anatarajiwa kusaini mkataba mpya wa muda mrefu na Arsenal
Arteta, ambaye alichukua mikoba ya Arsenal mnamo Desemba 2019, yuko katika mwaka…
Mtu mzee zaidi duniani ,taji lashikwa na mwanamke kwa mara nyingine
Mwanamke wa Kijapani mwenye umri wa miaka 116, Tomiko Itooka sasa ndiye…
Maafisa wa Marekani wanasa dawa za kulevya aina ya “methamphetamine” kwenye matikiti maji
Mamlaka za forodha na ulinzi wa mipaka nchini Marekani zimenasa dawa za…