Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji laomba msaada wa dola milioni 18.5 kupambana na mlipuko wa mpox
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) liliomba Jumatano msaada wa…
Kundi la Hezbollah limerusha zaidi ya roketi 50 katika eneo linalomilikiwa na Israel
Kundi la Hezbollah la Lebanon limerusha zaidi ya roketi 50 na kuzigonga…
Israel inasema ilishambulia kwa mabomu maghala ya silaha ya Hezbollah nchini Lebanon
Jeshi la Israel lilisema siku ya Jumatano kwamba lilishambulia kwa mabomu vituo…
Barack na Michelle Obama wamuunga mkono Kamala Harris
Michelle na Barack Obama walitoa ridhaa kubwa za Kamala Harris Jumanne usiku…
Malawi yapambana kuwatafuta wahanga wa ajali ya ndege ndani ya ziwa
Juhudi za uokoaji zimeongezeka baada ya ndege ya kibinafsi iliyokuwa na raia…
Asubuhi hii: Watuhumiwa waliobaka na kumlawiti binti wa Yombo kesi yao kuunguruma tena leo
Ikiwa leo ni siku ya tatu mfululizo washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi…
Hatua ya Barca kwa Leão inagonga mwamba
AC Milan wako tayari kukataa nia ya Barcelona kumnunua winga Rafael Leão,…
Nyota wa Man City, Foden amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwaka wa PFA
Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Phil Foden alishinda tuzo…
Libya inazorota sana kiuchumi: UN
Umoja wa Mataifa ulielezea wasiwasi wake siku ya Jumanne kuhusu kuzorota kwa…
MINAPA kuwashirikisha wananchi mapambano ya Ujangili na utunzaji hifadhi yatimiza miaka 60
Katika kuelekea kilele Cha maadhimisho ya miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa…