Tundu Lissu afikishwa polisi, wakili anena kinachoendelea “hajaua, hajasafirisha binadamu”
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Jeshi la Polisi limemkamata Makamu…
Liverpool inawasaka wachezaji watatu wa Bundesliga
Liverpool inawatafuta wachezaji watatu wa Bayer Leverkusen kama walengwa wa kuhama, huku…
Bosi wa Southampton anatarajia vilabu vingi kuonyesha nia ya Dibling
MENEJA Russell Martin alikiri anatarajia "kila klabu duniani" kuonyesha nia ya kumnunua…
Juventus wanapanga kumsajili mshambuliaji wa Galatasaray, Victor Osimhen mwakani
Hayo ni kwa mujibu wa mkuu wa soka wa Rai Sports, Paolo…
Hezbollah imerusha zaidi ya roketi 8,000 kuelekea Israel tangu Oktoba 7
Kundi la wanamgambo wa Hezbollah limerusha makombora zaidi ya 8,000 kuelekea Israel…
BREAKING: Polisi “Mbowe, Lissu, Lema na wengine tumewakamata, hawajatekwa”
Kamanda wa Kanda Maalum DSM Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14 akiwemo…
Korea Kusini yaonya kuhusu hatua watakaczo chukua dhidi ya puto za takataka kutokea Pyongyang
Korea Kusini ilisema Jumatatu itachukua "hatua madhubuti ya kijeshi" ikiwa mtu yeyote…
Zelensky awasili Marekani kujadili ‘mpango wa ushindi dhidi ya Urusi’ na Biden
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliwasili Marekani siku ya Jumapili kuwasilisha mpango…
Maafisa wa usalama wa Iran wamepiga marufuku vifaa vya mawasiliano baada ya mashambulizi
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) limepiga marufuku matumizi ya…
Jeshi la Israeli limeshambulia shule kwa mabomu huko Gaza na kuua Wapalestina 3
Takriban Wapalestina watatu waliuawa wakati jeshi la Israel liliposhambulia kwa bomu shule…