Iran yakataa wito wa nchi za Magharibi wa kusitisha vitisho kwa Israel
Iran siku ya Jumanne ilikataa miito ya nchi za Magharibi ya kuacha…
FBI yachunguza madai ya Iran kudukua kampeni za Trump
Shirika la upelelezi la Marekani, FBI, linachunguza kile kinachoshukiwa kuwa majaribio ya…
Mafuriko yasababisha maelfu ya watu kuhama makazi yao magharibi mwa Ethiopia
Takriban watu 16,000 wamelazimika kuhama makazi yao na kuelekea katika maeneo salama…
Mahakama ya Bangladesh yaamuru uchunguzi juu ya Waziri Mkuu wa zamani Hasina
Mahakama ya Bangladesh iliamuru uchunguzi ufanyike Jumanne kuhusu jukumu la Waziri Mkuu…
Maelfu ya watu nchini Sudan wanakabiliwa na hatari ya kifo ikiwa ulimwengu hautachukua hatua – IOM
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilizitaka nchi kuongeza michango yao katika…
Carvalho anaondoka Liverpool kwenda Brentford
Brentford ilimsajili kiungo mkabaji Fabio Carvalho kutoka kwa Liverpool kwenye Ligi Kuu…
Real Madrid itakataa ofa iliyovunja rekodi ya dunia kwa Vinícius Jr.
Real Madrid hawana nia ya kumruhusu Vinícius Júnior kuondoka katika klabu hiyo…
Maandamano ya madaktari dhidi ya madai ya ubakaji na mauaji ya daktari yaendelea kote India
Huduma za hospitali zimetatizika katika miji kadhaa ya India siku ya Jumanne,…
Idadi ya watu waliofariki katika maporomoko ya taka Uganda yafikia 25
Idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko katika eneo la kutupata taka…
Picha:baadhi ya Maafisa,wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Tanzania nchini Kenya
Mafunzo Narobi katika Picha ni baadhi ya Maafisa,wakaguzi na Askari wa vyeo…