“Safari ya kutimiza ndoto yako na programu ya Sanaa inayoishi” kuanzia Tanzania hadi Zimbabwe Novemba 2024
Chama cha Wamiliki wa Landrovers Tanzania kupitia Mwenyekiti wake Winna Shango imetoa…
Zimbabwe yajipanga vyema kuchukua kijiti uenyekiti wa SADC,mengi yaandaliwa
Wakati Zimbabwe ikichukua usukani wa uenyekiti wa SADC kuanzia tarehe 18 Agosti…
China yaikashifu Israel kwa kuwaua Wapalestina 100 katika shule ya Gaza
China imelaani shambulizi la hivi majuzi la jeshi la Israel dhidi ya…
Marekani imejiandaa kwa mashambulizi makubwa yanayoweza kutokea kati ya Israel na Iran -White House
Marekani imejitayarisha kwa mashambulizi yanayoweza kuwa makubwa ya Iran au washirika wake…
Vyombo vya habari nchini Senegal vinapanga kuzimwa siku ya leo kisa matamshi ya MP.Sonko
Mashirika ya habari ya Senegal yametoa wito wa kuzimwa kwa vyombo vya…
Zambia, DRC zakubali kufungua tena mipaka
Zambia imekubaliana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwamba milango mitatu ya…
Waziri Jafo aiagiza FCC kufwatilia mikataba ya wawekezaji wazawa na wageni hususani mikataba ya sekta ya madini
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Selemani Jafo ameiagiza Tume ya Ushindani…
Polisi wa Bangladesh waanza tena doria baada ya maandamano ya wiki kadhaa kukoma
Polisi wa Bangladesh walianza tena doria katika mji mkuu Dhaka siku ya…
Waachieni huru viongozi wa Chadema
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi…
Kikomo cha rais kuongoza nchini Guinea kuwa mihula miwili
Nchini Guinea, rasimu ya Katiba iliwekwa wazi usiku wa Jumapili Agosti 11…