Juventus wamepanga kutangaza kuondoka kwa walengwa wa Ligi Kuu ya Uingereza
Adrien Rabiot anatarajiwa kupewa ofa kwa vilabu vingi vikubwa kwenye Premier League…
Shabiki ahukumiwa kifungo cha miezi 8 jela kwa ubaguzi akiwalenga wachezaji wa Real Madrid
Mahakama ya Uhispania imetoa kifungo cha miezi minane jela kwa mtu mmoja…
Barca yaazimia kushinda mbio za kumnasa Williams
Wakala wa Nico Williams amekutana na mkurugenzi wa Barcelona Deco kujadili kuhusu…
J.D. Vance ndiye mgombea mwenza wa Trump
Seneta wa Ohio James David Vance ndiye mgombea mwenza mpya wa mgombea…
Biden ahakikisha watu wake kuwa ‘yuko sawa’ baada ya kupatikana na UVIKO-19
Rais wa Marekani Joe Biden amesema anajisikia vizuri baada ya kupimwa na…
Morocco yawafunga jela saba kwa unyanyasaji na biashara ya binadamu
Mamlaka ya Morocco Jumatano iliwahukumu watu saba kifungo jela kwa kushirikiana na…
Rais Joe Biden akutwa na virusi vya Covid-19
Rais Joe Biden wa Marekani ameambukizwa virusi vya Covid-19 na ana dalili…
“hakuna maandamano yatakayoruhusiwa” Polisi Kenya
Polisi wa Kenya Jumatano walisema “hakuna maandamano yatakayoruhusiwa” Katikati mwa mji mkuu,…
Maelfu ya wananchi wafurika uwanja wa Nelson Mandela Rukwa kumlaki rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia…
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya amemteua mkuu wa muda wa wizara zote
Rais wa Kenya William Ruto alimteua Jumatano waziri wake wa mambo ya…