Mwili wapatikana kwenye magurudumu ya ndege ya United Airlines usiku wa mkesha wa Krismasi
Polisi wa Maui wanachunguza tukio la kupatikana kwa maiti kwenye gurudumu la…
Man City ipo katika hatari ya kukosa nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anasema klabu hiyo iko katika hatari…
Upinzani wa Korea Kusini umeamua kumfungulia mashtaka kaimu rais
Chama kikuu cha upinzani nchini Korea Kusini kiliwasilisha ombi Alhamisi ya kumshtaki…
Waliofanya ghasia kwa washabiki timu wa Israel wahukumiwa
Mahakama moja ya Amsterdam nchini Uholanzi Jumanne imewahukumu vifungo vya hadi miezi…
Mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa – SGR yamewasili Bandari ya Dar
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya…
Ukraine yadai kushambulia kituo cha kijeshi nchini Urusi
Jeshi la anga la Ukraine limeshambulia kituo cha viwanda cha kijeshi katika…
Iran yaondoa marufuku kwenye jukwaa la mawasiliano la WhatsApp
Baraza kuu la Iran linaloshugulikia kulinda usalama wa mitandao limepiga kura Jumanne…
Maandamano yaongezeka Msumbiji,vurugu baada ya matokeo ya uchaguzi
Watu 21 wameuawa katika maandamano nchini Msumbiji, tangu mahakama ya juu ilipoidhinisha…
Papa Fransis atoa wito wa kusitushwa kwa milio ya risasi duniani
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis Jumatano katika hotuba yake ya…
WHO laonya kuhusu ongezeko la kasi la maambukizi ya malaria nchini Ethiopia
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) Jumatatu wiki hii imesema…