Ukanda wa Gaza watilia shaka usitishwaji wa mapigano huku vita hivyo vikiadhimisha miezi tisa
Wapalestina waliochoshwa na vita katika Ukanda wa Gaza walielezea shaka kuwa makubaliano…
Wakenya wafanya tamasha kuwakumbuka waathiriwa wa maandamano
Mamia ya Wakenya walihudhuria tamasha katika mji mkuu wa taifa hilo Nairobi…
“Hakuna nyumba ya Sh.milioni 100 kwa mwalimu mmoja fanyeni makadirio upya” Majaliwa
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameshangazwa kupatiwa taarifa za ujenzi wa nyumba za…
Das Mvomero Saidi Nguya aongoza wafanyakazi kutalii Hifadhi ya Mikumi
Katibu tawala Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro Saidi Nguya amesema Uwepo wa…
Waziri mkuu ashiriki Marathon Iringa
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa leo ameshiriki…
Kiwanda Cha sukari Mkulazi chaanza rasmi uzalishaji sukari
Kiwanda Cha Sukari Mkulazi kilichopo wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro kimeanza rasmi…
Yasema Tanesco ‘Kuna maeneo mikoa 15 mtakosa Umeme siku 2’
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) , limewatangazia Wateja wake kuwa kutakuwa na…
Nouma ajiunga na Msimbazi
Beki wa Kushoto wa Kimataifa wa Burkina Faso Valentin Nouma (24) amejiunga…
Umeenda Sabasaba? Hizi ni picha zikionesha bidhaa zinazopatikana GSM Group of Companies
Ule wakati umewadia! ni msimu wa SABASABA! Unakaribishwa kwenye BANDA la GSM…
Waziri Makamba aongoza kikao cha Mawaziri 15 wa EAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January…