Awamu ya pili ya ubadilishanaji wa mateka imekamilika rasmi
Mwishoni mwa wiki, wanajeshi wanne wa Israel wanaoshikiliwa na Hamas waliachiliwa na…
Yoon Suk Yeol rais wakwanza kufunguliwa mashtaka tuhuma za uasi Korea Kusini
Waendesha mashtaka wa Korea Kusini walimfungulia mashtaka Rais Yoon Suk Yeol siku…
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora la kimkakati la 1 tangu kuapishwa kwa Trump
Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora la kimkakati, vyombo vya habari vya…
Israel, Lebanon zimekubali kuongeza muda wa kuondoka kwa wanajeshi wa Israel hadi Februari 18
Marekani ilithibitisha Jumapili kwamba Israel na Lebanon zimekubali kuongezwa kwa muda wa…
Waasi wa M23 wauteka mji wa Goma,wataka wanajeshi wajisalimishe ndani ya saa 48
Waasi wa Congo walisema Jumapili wameuteka Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa…
RC Mwassa ahaidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano…
Dc Kilombero Kyobya ataka wazazi kutoa ushirikiano mahakamani kesi za ukatili Kwa watoto
Mkuu wa Wilaya Kilombero Mkoani Morogoro Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amewataka wazazi…
Maafisa kutoka wizara ya katibana sheria wapiga kambi mkoani Geita
Maafisa wa Wizara ya Katiba na Sheria wnatarajia kuwafikia Wananchi wenye Changamoto…
Wakurugenzi wa Halmashauri nchini watakiwa kuwa sehemu ya usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya kilimo
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imewataka wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuwa sehemu…
Waziri Mkuu kuzindua KanziData na mfumo wa taarifa za wenye ulemavu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 25 2025 atazindua Kanzidata na Mfumo…