Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton amelazwa hospitalini baada ya kuugua homa
Bill Clinton, rais wa zamani wa Marekani ambaye amekabiliwa na msururu wa…
Macron atangaza baraza jipya la mawaziri
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitangaza serikali mpya chini ya uongozi wa…
Zaidi ya watu 200 wameuwawa na magenge ya Haiti mwezu huu- UN yasema
Ripoti hiyo kutoka kwa Ofisi ya UN ya Haki za Binadamu imesema…
Hali ya maambukizi ya Mpox barani Afrika bado ni ya wasiwasi:WHO
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema hali ya maambukizi ya homa ya…
Mahakama ya juu ya Msumbiji imethibitisha ushindi wa chama tawala katika uchaguzi uliokumbwa na utata
Mahakama ya juu ya Msumbiji imeidhinisha ushindi wa chama tawala cha Frelimo…
TAAWANU yatoa semina na mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake Kagera
Taasisi ya Taawanu Islamic Foundation chini ya Mkurugenzi wake wa Kimataifa Hajat…
Watuhumiwa walioharibu miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR) wamepandishwa kwa mara ya pili kizimbani
Watuhumiwa watano wakiwemo raia wa China wawili, wanoakabiliwa na tuhuma za kuharibu…
Rais Mwinyi : Andaeni mkakati wa kuvutia sekta ya michezo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali…
Vietnam kuanza kutekeleza kanuni kali za mitandao ya kijamii
Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Vietnam kwenye majukwaa yakiwemo Facebook na…
Tik Tok yapigwa kadi nyekundu Albania
Waziri mkuu wa Albania Edi Rama, amesema Jumapili kwamba hatua ya kupigwa…