Mwanariadha wa Kenya apoteza rekodi ya dunia baada ya kupigwa marufuku kwa kutumia dawa za kusisimua misuli
Rhonex Kipruto amepigwa marufuku kwa miaka sita kwa kutumia dawa za kusisimua…
Sheria ya faini kubwa za magari kupunguzwa, watoa siku saba za maoni
Serikali kupitia wizara ya Uchukuzi imeanza mchakato wa mabadiliko ya sheria inayosimamia…
Urusi kutuma msaada zaidi wa kijeshi nchini Burkina Faso
Urusi itatuma vifaa vya ziada vya kijeshi na wakufunzi nchini Burkina Faso…
Dk. Mpango aitunuku tuzo Taifa Gas kwa utunzaji mazingira
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amekabidhi tuzo maalum kwa kampuni ya…
Serikali haijawasahau mikopo walio na zaidi miaka 35
Serikali imesema kuwa inaendelea na jitihada za kuhakikisha inatoa fursa mbalimbali za…
Basi lakamatwa kwa kuzidisha abiria,dereva apigwa faini
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limefanya operesheni…
Vijiji 80 kati ya 84 Singida vijijini vyapata umeme
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini…
Tanzania yaadhimisha Siku ya Dunia ya Teknolojia Saidizi
Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu kwa…
Maonesho ya mifugo na mnada kufanyika Juni 14 -15,2024 Ubena Estate Chalinze
Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji wa Kibiashara wa Ng'ombe(TCCS)Naweed Mulla wakati akiongea…
CCM Iringa yachangia Milioni 9 ujenzi wa ICU hospitali ya Ipamba
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa imechangia shilingi Millioni 9 kwenye hospitali…