Watu 31 wamefariki nchini Mali baada ya basi kutumbukia kwenye daraja
Watu 31 waliuawa nchini Mali siku ya Jumanne na wengine 10 kujeruhiwa…
Serikali ya Guinea imemteua aliyekuwa kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu
Waziri Mkuu mpya Mamadou Oury Bah amekuwa mtu mashuhuri katika siasa za…
Ugiriki :Wafanyakazi waandamana kudai majibu ya ajali mbaya zaidi ya treni iliyotokea 2023
Wafanyikazi kote nchini Ugiriki walipanga kufanya maandamano Jumatano kudai majibu mwaka mmoja…
Afrika Kusini yarekodi vifaru 499 waliouawa mwaka 2023
Afrika Kusini ilirekodi vifaru 499 waliouawa mwaka 2023, 51 zaidi ya mwaka…
Changamoto ya kiwango cha kuzaliana kushuka Korea Kusini yatajwa
Kiwango cha uzazi kwa Korea Kusini kilishuka rekodi mwaka jana, licha ya…
Watu 6 wamekamatwa kwa mauaji ya rapa AKA
Polisi wa Afrika Kusini walisema Jumanne kuwa wamewakamata watu sita kwa mauaji…
Korea Kaskazini yabadilishana makombora kwa chakula na Urusi
Viwanda vya kutengeneza silaha vya Korea Kaskazini vinafanya kazi kamili ya kutengeneza…
Kampuni ya Apple yaachana na mipango ya kutengeneza gari la umeme: media
Kampuni ya Apple imeachana na matarajio yake ya kuzalisha gari la umeme,…
Watu kadhaa wameuawa katika mashambulizi dhidi ya ofisi ya huduma za ujasusi Chad
Watu kadhaa waliuawa katika shambulio dhidi ya ofisi ya huduma ya kijasusi…
Maonesho sayansi na teknolojia ya wanafunzi kwa mwaka 2024
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuwaongezea utashi walimu na wanafunzi wa shule zote…