Iran inajiandaa kumzika aliyekuwa rais, waziri wa mambo ya nje na wengine waliofariki katika ajali ya helikopta
Iran siku ya Alhamisi inajiandaa kumpumzisha aliyekuwa rais wake katika eneo takatifu…
Mamia waandamana kwenye ofisi ya Netanyahu kushinikiza kuachiliwa kwa mateka
Waisraeli walikusanyika karibu na ofisi ya Netanyahu, kutafuta mpango wa kuachiliwa ndugu…
Mahamat Deby wa Chad kuapishwa kama rais aliyechaguliwa
Jenerali Mahamat Idriss Deby Itno, ambaye ameongoza serikali ya Chad kwa miaka…
Rais wa Kenya atembelea Ikulu ya Marekani katika ziara ya kwanza ya kiserikali barani Afrika baada ya miaka 16
Rais wa Kenya William Ruto Jumatano alifungua ziara ya kwanza ya kiserikali…
Wizara ya viwanda kuanzisha mtaa wa viwanda kwa kila wilaya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuanzia mwaka wa…
Masista wafurahishwa na maono chanya ya Polisi,endepo maboresho yataendelea imani itakuwa kubwa
Maaisita kutoka Shule ya Mtakatifu Maria Goreti ya Mjini Moshi wamesema kwa…
Zimbabwe yazuia mali ya bosi wa Red Cross wa Uganda
Zimbabwe imezuia mali mbili zinazomilikiwa na bosi wa Msalaba Mwekundu wa Uganda,…
Rais Samia kuongoza mkutano wa siku mbili wa Baraza la usalama la umoja wa Afrika
Rais wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza mkutano wa siku…
Alicia Keys na Swizz Beatz watunukiwa tuzo katika tamasha la Gordon Parks Foundation
Alicia Keys na Swizz Beatz walitunukiwa tuzo na Wakfu wa Gordon Parks…
Pep Guardiola atajwa kuwa Meneja wa Mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza
Pep Guardiola alitangazwa kuwa Meneja wa Mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza…