Tanzania yang’ara ajenda ya maji kwa ustawi wa wote,Aweso atoa kauli
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu…
Dkt .Nchimbi aipongeza THRAPA kwa kuwakutanisha wafanyakazi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka…
Billioni 38 kunufaisha wakulima nyanda za juu Kusini
Wafadhili kutoka Canada Wametoa bilioni 38 kwajili ya kusaidia shughuli za kilimo…
Tetesi za nyota wa Milan kutaka kuhamia Saudi Arabia
Nyota wa Milan Ismael Bennacer anasemekana kutaka kuhamia Saudi Arabia msimu wa…
Mwendesha mashitaka wa ICC ataka kukamatwa kwa Netanyahu na Gallant
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu amesema anatafuta vibali…
NATO yatoa rambirambi kwa Iran kwa kifo cha Rais wake na alioongozana nao
"Rambirambi zetu kwa watu wa Iran kwa kifo cha Rais Raisi, Waziri…
‘jeshi sio sehemu ya siasa’ Dkt. Stergomena Tax
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema…
Wananchi walalamika kuchapwa viboko na viongozi wa serikali
Wananchi wa kata ya Kidegembye halmashauri ya wilaya ya Njombe wamelalamikia kitendo…
Zaidi ya Wapalestina 35,562 wameuawa na 79,652 kujeruhiwa katika mashambulizi ya kijeshi ya Israel huko Gaza
Zaidi ya Wapalestina 35,562 wameuawa na 79,652 kujeruhiwa katika mashambulizi ya kijeshi…
Mchina afariki akijaribu kufanya mazoezi ya kuning’inia kwenye Mkanda kwa kutumia kidevu
Mchina mmoja hivi karibuni alipoteza maisha alipokuwa akifanya mazoezi ya aina ya…