Mwanamke wa Brazili aipeleka maiti ya mwanamume hadi benki ili kusaini karatasi za mkopo
Katika tukio la kutatanisha kutoka Brazili, mwanamke alileta maiti ya mwanamume mwenye…
‘Ukiunga mkono mgomo wa madaktari basi lipeni pesa wanazoomba’ : Ruto
Rais Ruto Jumatano aliwataka viongozi wanaounga mkono mgomo unaoendelea wa madaktari kuwalipa…
Dubai: machafuko katika uwanja wa ndege wa pili wenye shughuli nyingi zaidi duniani
Mvua kubwa imeendelea kukumba majimbo ya Ghuba, na kusababisha mafuriko makubwa na…
Ujerumani yawakamata watu wawili wanaodaiwa kuwa majasusi wa Urusi
Ujerumani imewakamata watu wawili wenye uraia wa Ujerumani na Urusi nchini Ujerumani…
Wimbi kali la joto lasababisha vifo na milipuko ya magonjwa maeneo kadhaa barani Afrika
Mawimbi mabaya ya joto katika Afrika Magharibi na Sahel imetokana na mabadiliko…
Polisi walivamia genge la kimataifa la mtandao linaloshutumiwa kwa ulaghai
Polisi wameliondoa genge linalodaiwa kutumia huduma ya teknolojia iliyosaidia wahalifu kutumia jumbe…
Rais Samia kutunukiwa udaktari wa heshima nchini Uturuki
Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa…
Takribani wakazi 26,900 warudishiwa neema ya maji safi Hanang
Mnamo Desemba 03 , 2023 katika Wilaya ya Hanang yalitokea maporomoko ya…
Makamu wa rais afungua mkutano wa wakaguzi wa ndani barani Afrika
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango…
Serikali kutumia Bilioni 841.19 ujenzi wa barabara za wilaya
Katika mwaka 2024/25, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni…