UN kutoa rufaa ya dola bilioni 2.8 kwa Gaza, Ukingo wa Magharibi
Umoja wa Mataifa ulitangaza Jumanne kuwa utazindua ombi la kimataifa la dola…
Safari ya mwisho ya Klopp Liverpool ipo katika hatari
Jurgen Klopp alikuwa akielekea kwenyetamati ya msimu wake wa mwisho akiwa Liverpool…
Iran yapongeza ‘mafanikio’ ya mashambulizi dhidi ya Israel wakati wa gwaride la kijeshi
Iran ilisherehekea "mafanikio" ya wikendi yake ya ndege zisizo na rubani na…
Idadi ya vifo Gaza imeongezeka hadi 33,899, maafisa wa afya wanasema
Mashambulizi ya kijeshi ya Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha vifo vya…
Michuano ya nusu marathon Beijing chini ya uchunguzi
Umaarufu wa mbio za Marathon nchini chhina umefichua matatizo kadhaa huku bodi…
FCT yasikiliza na kutolea maamuzi mashirka 429
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote…
TCAA yapongezwa usimamizi thabiti sekta ya usafiri wa anga
Kamati ya Mawasiliano Ardhi Na Nishati Ya Baraza La Wawakilshi Zanzibar imesifu Mamlaka ya Usafiri…
Rais wa Iran aonya kuhusu jibu ‘kubwa’ ikiwa Israel itaanzisha uvamizi
Rais wa Iran ameonya kwamba "uvamizi mdogo zaidi" wa Israel utaleta jibu…
Mashambulizi ya anga yamewaua vinara watatu wa magaidi Nigeria
Jeshi la Anga la Nigeria lilitangaza jana Jumanne kwamba mashambulizi ya anga…
Uingereza kuharamisha uundaji wa picha na video kwa njia ya AI kwa dhana ya kudhalilisha
Serikali ya Uingereza imeanza msako mkali wa waundaji wa "deepfakes"yaani picha au…