Mjumbe Maalumu wa UM nchini Libya ajiuzulu baada ya kutomalizika mizozo ya muda mrefu
Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, Abdoulaye Bathily, aliitangaza jana…
Zaidi ya asilimia 90 ya watoto hawaendi shule kutokana na vita nchini Sudan
Mgogoro wa mwaka mzima sasa baina ya majenerali wa kijeshi wanaoongoza Jeshi…
Korea Kaskazini yaweka kamera za uchunguzi shuleni na sehemu za kazi kufuatilia idadi ya watu wake
Kwa mujibu wa ripoti, Korea Kaskazini inakusanya alama za vidole, picha na…
Mitambo ya kisasa ya kupima ujazo wa mafuta ya aina zote kuinufaisha Serikali pamoja na wadau wa sekta ya mafuta
Mitambo ya kisasa ya kupima ujazo wa mafuta ya aina zote yanayoingia…
Dubai yakabiliwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha,uwanja wa ndege wasitisha safari zake
Barabara kuu jijini Dubai zilizibwa na mafuriko huku wasafiri wakihimizwa kukaa mbali…
Baraza la mawaziri wa EAC lapokea mapendekezo ya Katibu mkuu mteule wa Jumuiya
Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo tarehe 16…
Uwanja wa King George Memorial uliopo Kilimanjaro kutengenezwa kwaajili ya mazoezi kipindi cha AFCON 2027
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa…
Kuelekea mashindano ya AFCON 2027, Tanzania kunufaika katika nyanja mbalimbali nje ya soka
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa…
Tumejipanga vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 – Mhe. Mchengerwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za…
Katibu mkuu Abdulla azindua majaribio ya utoaji wa barua ya utambulisho kupitia mfumo wa NAPA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw.…