Waziri Bashe afanya mkutano mkuu wa 14 wa wadau wa zao la kahawa kujadili namna ya kuboresha na kukuza zao hilo nchini.
Mkutano huo umefanyika tarehe 16 Aprili 2024 jijini Dodoma na kuwakutanisha Wakulima,…
Meli kuchelewa,foleni sheli za Zanzibar
Katika Baadhi ya vituo mbali mbali vya kutolea mafuta Zanzibar kumejitokeza changamoto…
Bodi ya Mfuko wa Barabara Yaonya TANROADS na TARURA Fedha za Matengenezo
Bodi ya Mfuko wa Barabara, imezitaka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na…
Mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake warejeshwa kuanzia July, 2024 na Rais Samia
Rais wa Tanzania ametangaza kurejesha tena utoaji wa mikopo ya asilimia 10…
‘Tutatumia silaha ambazo hazijawahi kutumika hapo awali: Iran yatoa vitisho kwa Israel
Iran imeonya kwamba itatumia silaha "hazijawahi kutumika hapo awali" dhidi ya Israeli…
Ugiriki inaweza kuwa nchi ya 1 kukabiliwa na mzozo wa kuporomoka kwa idadi ya watu
Ripoti ya hivi majuzi inaonyesha kuwa Ugiriki inakabiliwa na upungufu mkubwa wa…
Hamas inasema itawaachilia huru mateka 20 ili kubadilishana na suluhu ya wiki 6: Ripoti
Katika tukio la hivi punde kutokana na mzozo unaoendelea kati ya Israel…
Urusi yakumbwa na mafuriko nyumba zaidi ya elfu 15 zasombwa na maji
Maafisa wa Russia wa Idara ya Kukabiliana na Majanga ya Kimaumbile wameeleza…
Klabu ya Yanga yaingia mkataba wa mwaka 1 wa udhamini na kampuni ya Silver General Investment
Klabu ya Yanga leo imetangaza kuingia Mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini…
Trump anaweza kuwa rais wa kwanza wa zamani Marekani kuhukumiwa katika kesi ya jinai
Duru za Marekani zinasema kesi hiyo yumkini ikaathiri azma yake ya kuwania…