China na Tanzania zaadhimisha miaka 60 ya ushirikiano thabiti
China na Tanzania zinaadhimisha miaka 60 ya ushirikiano usioyumba, kuanzia ufukwe wa…
Picha:Dkt Nchimbi,Makala ,Gavu ziarani Songwe
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi DK. Emmanuel Nchimbi, ameambatana na…
Rais Samia anaendelea kuipatia Wizara ya Ujenzi fedha za dharura kusaidia ukarabati maeneo ambayo barabara zimeharibika : Bashungwa
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Bayern Munich inamuwinda mchezaji anayelengwa na Manchester United kuchukua nafasi ya Thomas Tuchel
Bayern Munich wamefanya mawasiliano na meneja wa zamani wa Real Madrid Zinedine…
UN: Watu millioni 25 Sudan wanahitaji msaada wa kibinadamu
Justin Brady, Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada…
Watetezi wa haki wa kibinadamu wawasilisha Rufaa katika mahakama ya Juu dhidi ya LGBT
Kundi la watu 22 linalojumuisha watetezi wa haki za binadamu na watunga…
Bei ya mafuta yashuka baada ya shambulio la Iran na Israel
Bei ya mafuta ilishuka mapema barani Asia baada ya shambulio la kulipiza…
Wananchi watakiwa kutumia mifumo ya Tehama kwa usahihi ili kuepuka taarifa za upotoshaji
Waziri wa katiba na Sheria Balozi Pindi Chana amewataka watumishi na wananchi…
Maporomoko ya ardhi DRC yaua watu 12, zaidi ya 50 bado hawajapatikana
Takriban watu 12 waliuawa na zaidi ya 50 bado hawajulikani walipo baada…
Jamii yahamasishwa kujenga makumbusho binafsi
Wizara ya Maliasili na Utalii inawahamasisha wananchi kujenga makumbusho kwenye maeneo yenye…