Kufanya upasuaji kubadili jinsia ni ukiukwaji mkubwa wa utu na haikubaliki :Vatikan
Vatikani siku ya Jumatatu ilitangaza upasuaji unaoidhinisha jinsia na uzazi kama ukiukwaji…
Mamilioni ya watu washuhudia kupatwa kwa jua kote Amerika Kaskazini
Ilikuwa tamasha la ajabu wakati jua lilipotea nyuma ya kivuli cha Mwezi…
Togo inachelewesha uchaguzi wa Aprili 20 kutokana na mageuzi ya kisiasa
Wabunge wa Togo walizindua mashauriano katika taifa zima la Afrika Magharibi siku…
Millioni 435 zatumika kujenga madaraja Singida
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe.Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha…
Waraibu wageukia makaburi ,watengeneza dawa za kulevya zilizochanganywa na mifupa ya binadamu Sierra Leone
Waraibu wa dawa za kulevya huko Sierra Leone, Afrika Magharibi, wanachimba makaburi…
Mhe. Katimba asisitiza watumishi TSC kuendelea kufanya kazi kwa bidii
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa…
Jose Mourinho anatarajia kurejea kufundisha msimu huu wa joto.
Mreno huyo amekuwa hana kazi tangu atimuliwe na Roma mwezi Januari na…
Kuelekea Sikukuu ya Eid El Fitr, Jeshi la Polisi lawahakikishia usalama wananchi
Kuelekea sikukuu ya Eid al Fitr Jeshi la Polisi limewataka madereva Mikoa…
Juventus wanakaribia kumsajili Felipe Anderson wa Lazio
Winga wa Brazil Felipe Anderson , 30, anatarajiwa kujiunga na Juventus mara…
Mlipuko wa kipindu pindu wauwa 60 nchini Somalia
Mlipuko mkali wa kipindupindu nchini Somalia umesababisha vifo vya takriban watu 60…