Wanaojihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni kutoka BoT kuchukuliwa hatua
Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni…
Sheria ya bima ya afya kwa wote kuanza kutumika kabla ya mwisho wa April 2024
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima…
BMH yafanikiwa kutoa sarafu iliyokwama siku 6 kwenye koo la mtoto
Wataalamu katika Idara ya ENT ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) wamefanikiwa…
Bei mpya za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini hizi hapa…
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda…
Erling Haaland ndiye mshambuliaji bora zaidi duniani :Guardiola
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola alisema Erling Haaland ndiye mshambuliaji bora…
Cameroon imemteua Marc Brys kama kocha mkuu mpya
Mbelgiji Marc Brys ameteuliwa kuchukua nafasi ya Rigobert Song kama kocha wa…
Israel yaomba radhi kwa vifo vya wafanyakazi 7 wa kutoa misaada huko Gaza ‘hatukukusudia’
Mkuu wa jeshi la Israel asema mlipuko uliosababisha kuwaua wafanyakazi wa misaada…
Papa aeleza huzuni yake kubwa kwa wafanyakazi wa misaada waliouawa Gaza
Papa Francis alielezea "masikitiko yake makubwa" Jumatano kwa vifo vya wafanyikazi saba…
Wapalestina 32,975 wameuawa katika mashambulizi ya Gaza tangu Oktoba 7: wizara ya afya
Takriban Wapalestina 32,975 wameuawa na 75,577 wamejeruhiwa katika hujuma ya kijeshi ya…
Miili ya wafanyakazi wa misaada ya kigeni waliouawa katika mlipuko Gaza kurejeshwa makwao
Miili sita ya wafanyakazi wa kigeni wa kutoa misaada waliouawa katika shambulizi…