WHO yaonya kwamba mlipuko wa kipindupindu unaweza kuzuka tena nchini Haiti
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema kuwa…
Zaidi ya makocha 300 wa Ufaransa, walimu watuhumiwa kwa unyanyasaji kingono
Zaidi ya makocha 300 wa Ufaransa, walimu na maafisa wa michezo wameshutumiwa…
Afungwa maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuchoma kurasa za kitabu kitakatifu ‘Quran’
Mahakama nchini Pakistani imemhukumu mwanamke Mwislamu kifungo cha maisha jela baada ya…
Mgonjwa mwenye miaka 62 apandikiza figo ya nguruwe
Madaktari huko Boston walitangaza Alhamisi kuwa wamepandikiza figo ya nguruwe iliyobadilishwa vinasaba…
Vita vya Israel dhidi ya Wapalestina Gaza sasa yafikia katika siku yake ya 168
Vita vya Israel dhidi ya Wapalestina waliozingirwa wa Gaza - sasa katika…
Israel yawawekea vikwazo Wapalestina katika Msikiti wa Al Aqsa
Israel yawawekea vikwazo Wapalestina katika Msikiti wa Al Aqsa kwa Ijumaa ya…
Maafisa walipuuza ripoti za kuaminika ambazo zingeweza kuzuia vifo vya zaidi ya watu 400 Shakahola :KNCHR
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini Kenya linaloungwa mkono na serikali…
Takriban watu Milioni 28 Sudan na nchi za karibu wanakumbwa na uhaba wa chakula :WFP
Naibu mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Carl…
Kremlin inasema Urusi ipo katika vita chini Ukraine na sivinginevyo
Kremlin ilisema Ijumaa iko katika "hali ya vita" nchini Ukraine, na kuongeza…
Watu 42 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Chad
Wizara ya Usalama wa Umma ya Chad imetoa taarifa ikisema, watu wasiopungua…