Umma umehimizwa na jeshi kuongeza umakini ili kuepuka kuwa wahanga wa ugaidi wa ADF
Tahadhari hii ya kuongezeka inakuja katikati ya mapambano ya muda mrefu kati…
Israeli:Chama cha wafanyikazi kimewasilisha ombi la kufuta leseni za bunduki zilizotolewa kinyume na sheria
Chama cha Wafanyikazi cha Israeli kimewasilisha ombi kwa Mahakama Kuu ya Haki,…
Jeshi la taifa la Somalia limewaua karibu wanamgambo 40 wa Al-Shabaab
Serikali ya Somalia imesema kuwa oparesheni mpya ya kijeshi dhidi ya kundi…
Kuelekea michezo ya robo fainali ya CAF Champions League zingatieni uzalendo :Waziri Ndumbaro
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro kuelekea michezo ya…
Ukimgonga tembo katika hifadhi ya taifa ya mikumi unaweza kulipa hadi Mill 50
Kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu kuwagonga wanyama katika hifadhi…
Idadi ya watu wanaolazimishwa kufanya kazi kinyume na matakwa yao imeongezeka :ILO
Shirika la Kimataifa la Kazi la Umoja wa Mataifa, ILO, linaripoti kwamba…
Rais Joe Biden atatia saini mswada wa kuifungia Tik Tok iwapo Bunge la Congress litaamua rasmi
Ushindani wa teknolojia kati ya Marekani na China uliibuka tena baada ya…
Sehemu za Haiti zimeachwa gizani baada ya vikundi vilivyojihami kushambulia kituo cha umeme
Makundi yenye silaha yaliingia katika vituo kadhaa vya umeme nchini Haiti, na…
Muda mdogo wa Mbappe wa kucheza PSG unaweza kuifaidisha Ufaransa
Kupunguzwa kwa muda wa Kylian Mbappe kucheza na Paris St Germain katika…
Hati miliki za Ardhi zinazotolewa kwa wamiliki wa ardhi haziruhusiwi kuwekewa ‘’Lamination’’
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi…